Ads

Alikiba Awaletea Jambo Hili

Alikiba Awaletea Jambo Hili Mashabiki Zake



Kwa mashabiki wote wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ambao wanapenda kutazama mpira wa miguu au kucheza pia kesho Aprili 27, 2018 ni siku yenu ya kukutana na kufurahi pamoja kwenye viwanja vya Jakaya Kikwete Kidogo Chekundu Kariakoo Jijini Dar es salaam.


Mechi hiyo ya mchezo wa soka itahusisha timu ya mashabiki wa Alikiba (@Teamkiba_football_club) na timu ya mpira wa miguu ya Instagram (@instasokafc)

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.